Shinyanga Leo!! MCT NA BBC MEDIA ACTION WAANZA KUTOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HABARI ZA UCHAGUZI MKUU TANZANIA,ANGALIA HAPA PICHAHapa ni katika Ukumbi wa Vigimark Hotel mjini Shinyanga ambapo waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Shinyanga,Tabora,Singida,Katavi na Kigoma leo wameanza mafunzo maalumu kuhusu Uandishi wa habari za Uchaguzi yatakayowajengea uwezo wa kuandika habari sahihi zinazohusiana na masuala ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu zitakazowapa wananchi uwezo wa kuwapima wagombea na hatimaye kuchagua viongozi wenye sifa.Mafunzo hayo yatakayodumu kwa muda wa siku 5 yameandaliwa na Baraza la habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na BBC Media Action


Awali Victoria Marco kutoka BBC Media Action akizungumza katika semina hiyo iliyokutanisha waandishi wa habari kutoka mikoa ya Shinyanga,Singida,Katavi,Kigoma na Tabora yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuandika habari sahihi za uchaguzi mkuu nchini TanzaniaWaandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini ambapoa pamoja na mambo mengine wawezeshaji walisisitiza umuhimu wa waandishi wa habari kuandika habari za ukweli zinazozingatia usawa katika jamiiWawezeshaji wa mafunzo hayo,kushoto ni ndugu Deo Mfugale,kulia ni ndugu Paulo Mallimbo ambaye ni afisa Programu kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT)Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini


Mwezeshaji wa mafunzo hayo Deo Mfugale akiendelea kutoa elimu kwa waandishi wa habariMafunzo yanaendelea


Mwezeshaji wa mafunzo hayo Deo Mfugale akisisitiza jambo ukumbiniMafunzo yanaendeleaMwandishi wa habari Juma Kapipi akifuatilia kwa umakini zaidi kilichokuwa kinaendelea ukumbiniMwandishi wa habari Florentina kutoka CG FM Radio ya Tabora akiwasilisha kazi ya kundi lake ukumbiniTunafuatilia kinachoendelea ukumbiniMwandishi mkuu wa Malunde1 blog,ndugu Kadama Malunde akiwasilisha kazi ya kundi lakeMwandishi wa habari Leonard Manga akiwasilisha kazi ya kundi lakeTunafuatilia kinachoendelea...Mwandishi wa habari Richerd Katunka akiwasilisha kazi ya kundi lakeMkufunzi Paulo Mallimbo ambaye ni afisa Programu kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) akiwasilisha mada ukumbiniKulia ni mwandishi wa habari Simon Kabendera akitafakari jambo ukumbiniMafunzo yanaendeleaMafunzo yanaendeleaMafunzo yanaendelea...Mafunzo yanaendeleaMafunzo yanaendelea


Victoria Marco kutoka BBC Media Action akisisitiza jambo ukumbiniMwandishi wa habari Kadama Malunde na Juma Kapipi wakiwa ukumbini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post