MVUA YA MASAA MATATU YAJERUHI WATU WAWILI KUHARIBU NYUMBA 17 HUKO GEITA

Watu wawili wamejeruhiwa na zaidi ya kaya 78 zimeezuliwa na mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha katika kijiji cha Kasoto wilayani Geita.


Mvua hiyo ilianza kunyesha majira ya saa nane mchana kukatika baada ya masaa matatu imeezua paa na nyumba 17 kubomoa kabisa hivyo kukosa kabisa mahali pa kuishi.
 


Mkuu wa wilaya ya Geita Manzie Omary Mangochie ametembelea kijijini hapo na kujione uharibifu wa majengo na kumtaka mhandisi wa wilaya ya Geita kufanya tahimini ya uharibifu uliuojitokeza, aidha amewataka baadhi ya wananchi kuwasaidia wale waliopatwa na maafa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post