Makubwa Haya!! KUTANA NA MBWA HAWA,HAWAWEZI KULA CHAKULA CHOCHOTE KABLA YA KUSALI...(Video)


Mbwa ni miongoni mwa wanyama wenye ukaribu sana na binadamu na kwa nchi za wenzatu mbwa amekua akithaminiwa sana kama binadamu wengine kuanzia chakula, malazi mpaka mavazi.


Wapo watu ambao hutumia kiasi kikubwa cha fedha kuwahudumia mbwa na mara nyingi mbwa hutumika kama walinzi katika nyumba za watu.


Nimeoma nikuletee hii video inayoonyesha jinsi mbwa anavyoweza kukumbuka kusali kabla ya kula kila siku.

Je wewe unakumbuka kusali kabla ya kula kila siku?

Itazame hapa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post