FAIZA ALLY ALALAMIKA MAHAKAMANI KUNYANG'ANYWA MTOTO NA MBUNGE SUGU

  http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/faiza.png
Leo June 23 2015 Mahakama ya Sinza Dar imetoa hukumu ya hatma ya mtoto wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na mzazi mwenzake Faiza kwa kuruhusu mtoto huyo kulelewa na baba yake kwa madai kuwa mama hana vigezo vya kumlea mtoto huyo kimaadili.

Faiza  ameongea kwa huzuni kuhusu hukumu hiyo, anadai kuwa hajatendewa haki na pia baba wa mtoto hawezi kumlea kwa sababu ana mambo mengi.

Hata hivyo Faiza amesema pamoja na lawama ambazo amepewa kuhusu mavazi yake bado yuko tayari kujirekebisha.

MSIKILIZE HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post