Wasukuma Shikamoo!! NIMEKUWEKEA HAPA VIDEO YA MWANAKWELA WA KAHAMA INAITWA "Nyankole"Nimekusogezea video ya msanii Mwanakwela msukuma  kutoka Kahama mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa "Nyankole".


Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post