Afisa
matekelezo kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Shinyanga
Katoto Mohamed akimpatia mkuu wa mkoa wa Shinyanga
Ally Rufunga kipeperushi cha huduma zinazotolewa na NHIF.Mohamed pia alitoa ufafanuzi kuhusu mpango wa KIKOA wanaowasilisha katika maonesho hayo ya SIDO.Alisema KIKOA ni utaratibu wa utoaji wa huduma za afya kwa kadi kwa vikundi/ushirika vilivyo katika sekta isiyo rasmi.
![]() |
Afisa matekelezo kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Shinyanga Katoto Mohamed akiendelea kutoa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga alipotembelea banda lao |
![]() |
Katika Banda la NHIF huduma za upimaji wa afya pia unafanyika,ambapo wananchi wanapima uzito,urefu,kisukari,presha n.k sambamba na kupatiwa ushauri.Pichani wananchi wakiwa katika foleni kupima uzito |
![]() | |
Wakazi wa Shinyanga wakiwa katika foleni kupata vipimo kutoka kwa daktari Bethy Shayo kutoka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga |
![]() |
Wakazi wa Shinyanga wakiwa katika foleni kupata vipimo kutoka kwa daktari Bethy Shayo kutoka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga |
![]() |
Vipimo na ushauri unaendelea |
![]() |
Afisa matekelezo kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Shinyanga Katoto Mohamed akitoa vipimo kwa mkazi wa Shinyanga katika banda la NHIF |
![]() |
Zoezi la Vipimo linaendelea |
Social Plugin