MR NICE ATIKISA TABORA!!,SHUHUDIA MAPOKEZI YAKE MKOANI HUMO

Mfalme wa Takeu nchini ameendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki wake huko mkoani Tabora ikiwa ni muda mfupi baada ya kuachia albamu mpya inayokwenda kwa jina la WANAWEZA ikiwa na dhumuni maalumu la kumkomboa mwanamke wa Afrika!! mfalme huyo anayeonekana kurudi kwa kasi zaidi katika tasnia ya muziki kwa sasa yupo mkoani Tabora akiendelea na tour yake maalumu ya kupiga show mbalimbali nchini Tanzania


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post