Nimekutana na hii unaambiwa jamaa huyu kutoka Brazil alifanya mazoezi akinyanyua vyuma bila mpangilio matokeo yake mwili ukaumuka hovyo