KUTANA NA NYUMBA YA AJABU YA INJINIA,IMEJENGWA KWA MAKONTENA TU!!

cee85e36c04d89c169bb93bd1ac261a72cab1608

Matt Mooney ni Engineer wa Dallas Marekani, anasema hiki alichokifanya ni moja ya ndoto ambazo aliwahi  kuziota tangu akiwa mdogo.. huku kwetu tumezoea makontena yale ambayo yanabeba mizigo kwenye meli na magari makubwa, watu wengine huwa wanayatengeneza na kuyafanya maduka, au vibanda vya biashara nyingine tu.

Nimevutiwa na huu ubunifu kiukweli.. jamaa kachukua kontena zake kama 14 hivi, katengeneza mjengo.. yaani ukiziona hizo picha za ndani unaweza hata usiamini kwamba huu ni mjengo ambao umekamilika kwa kutumia kontena tu !!

Zicheki hapa picha zaidi ya 15 kuanzia hatua ya kuanza ujenzi.. nje na ndani mpaka ilivyokamilika.
14976a52c5c7f7065824e985efc7f2f582cb13a6
Hapo mwanzo kabisa, konteni linashushwa.
515920c3d9bccb527a60c2b8b6239dbe0802cb3c
5d1bb6617a692a75e827f0498a8cc729835e6fc7
Hii ni sehemu ya ndani, kabla kabisa ya makontena kuwekwa.
8caccb00bf9bc2aaf9f600ca49b4a8fed574a99b
Wataalam wako kazini, ujenzi unaendelea.
99b6136ac698f2eea6883f2273b66eb8ee4aa564
Hapo inazidi kupendeza.. Hatua kwa hatua yani.
0042390bda41b1e1ca8708fa4a7deb38898f2ecd
Sehemu ya kupumzika juu ya nyumba hiyo. Hapo imekamilika kabisa yani.
f0d271e7eda1199812c4bc9b6ff3b54ece8b0338
Karibu chumbani.
7358bb284941abc11bcb9efa7186847eb74796db
.
b7f72940f273a712748f2310cb20714bc5736f0a
.
cee85e36c04d89c169bb93bd1ac261a72cab1608
.
e7cd81f960183a626588f4e1e33803f91a64c3e5
.
f74df3d388d6fa0fc7c8c62c6f4f9c5b2d0f2b56
.
Mjengo i
.
tumblr_ngsqh5f3kB1szkifao1_1280
.
tumblr_ngsqk4oY5I1szkifao1_1280
.
tumblr_ngsqlaso4K1szkifao1_1280
.
tumblr_ngsqrr54Vb1szkifao1_1280
. 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post