CHADEMA YAZINDUA VIKUNDI VYA ULINZI 200 KILA JIMBO DAR ES SALAAM!!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo -Chadema kimefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Kawe jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzindua rasmi mpango uitwao FTP 200 uliolenga   kuhakikisha kila kata kinakuwa na walinzi 200 wa chama hicho.


Akizungumza katika uzinduzi huo mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema moja kati ya mambo ya msingi ambayo kwa sasa yanatakiwa kufanyika ni tume ya taifa ya uchaguzi kuhakikisha zoezi la uandikishaji wapiga kura linafanyika kikamilifu la sivyo watabeba mzigo wa lawama.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527