| "Mengi sasa njoo Kanda ya Ziwa Ujionee" lilisomeka moja kati ya mabango hayo |
Kauli mbiu ya siku ya uhuru wa
vyombo vya habari duniani mwaka huu ni “Acha uandishi wa habari ustawi kuelekea
uandishi bora,usawa wa kijinsia na usalama katika zama za ki-digitali”.
|
| Waandishi wa habari wakijadili jambo baada ya kuwasili katika kituo cha Buhangija mapema leo |
| Waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga wakiwa katika kituo cha Buhangija |
| Waandishi wa habari wakichukua matukio baada ya kupokelewa na mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali( mwenye nguo ya kijani- kushoto) |
| Watoto wakiwa tayari kabisa kuwasikiliza waandishi hao wa habari |
| Waandishi wa habari wakiwa Buhangija |
| Watoto hao wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya chakula,mabweni,mavazi na vitanda |
Mwalimu Peter Ajali akizungumza kituoni hapo
| Watoto wakiwa katika eneo la tukio |
| Mwandishi wa habari ndugu Stephen Kidoyayi kwa niaba ya katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga akitambulisha waandishi wa habari waliofika katika kituo cha Buhangija |
| Mifuko 25 ya unga iliyotolewa na waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija |
| Mwalimu Peter Ajali akishikana mkono na makamu mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari mkoni Shinyanga (SPC)Greyson Kakuru |
| Makamu mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari mkoni Shinyanga (SPC)Greyson Kakuru akikabidhi mfuko wa unga kwa mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali |
| Makamu mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari mkoni Shinyanga (SPC)Greyson Kakuru akikabidhi mfuko wa unga na kushikana mkono na mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali |
| Mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali(Kulia) akikabidhi mifuko ya unga kwa watoto hao |
| Mifuko ya unga,maharage(kulia) na saruji iliyotolewa na waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga |
| Mhariri mkuu wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde akiwa katika kituo cha Buhangija |
| Mwandishi wa habari ITV/Radio One ndugu Frank Mshana akitoka katika bweni linaloendelea kujengwa katika kituo cha Buhangija |
| Mwandishi wa habari Stephen Wang'anyi akichanganya mchanga na saruji nje ya jengo linaloendelea kujengwa kwa ajili ya watoto hao |
| Ndugu Kadama Malunde,mkurugenzi wa Malunde1 blog akichanganya mchanga na saruji katika kituo hicho |
Social Plugin