PICHA PAMBANO LA KIHISTORIA: MAYWEATHER NA MANNY PAQUIAO,KAULI YA PAQUIAO BAADA YA KUCHAPWA IKO HAPA PIA

fight-8a_rnd_5_3289903b
Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.
Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweatherkamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117 na Pacquiao ana points 111.
wattt_3289915b
Kwa matokeo hayo Mayweather kaendeleza kuweka rekodi yake kubwa ya kutoshindwa pambano hata moja tangu amekuwa professional boxer.
Manny Pacquiao reacts after his fight against Floyd Mayweather Jr. in a welterweight unification bout on May 2, 2015 at the MGM Grand Garden Arena in Las Vegas, Nevada. AFP PHOTO / FREDERIC J. BROWN        (Photo credit should read FREDERIC J. BROWN/AFP/Getty Images)
Manny Pacquiao amepingana kwa nguvu zake zote na matokeo ya pambalo lake dhidi ya Floyd Mayweather Jr kuwa ameshindwa pambano hilo la welterweight. 

Floyd Mayweather amemshinda Manny Pacquiao katika pambano hilo ambalo watu wengi wanadai kuwa maamuzi yalikuwa ni ya kutatanisha.

Pacquiao kwa upande wake anasema majaji watatu wa pambano hilo hawakutoa maamuzi sahihi
"Mimi nilidhani nimeshinda pambano, mimi sikuona kama Mayweather alifanya chochote kile kwangu, nilimpelekea makonde mara nyingi zaidi huku yeye muda mwingi akitumia kupanchi," Pacman alisema. "Nilimshambulia mara nyingi zaidi."

Pambano hilo ambalo limepewa sifa kama pambano la karne lilifanyika katikaukumbi wa MGM Grand arena uliopo Las Vegas.


Tazama picha za mpambano ulivyokuwa hapa chini:
fight-6-a_rnd_2_3289901b
fight-end-manny_3289916b
fight-floyd-manny-_3289909b
fight-floyd-win-be_3289919b
fight-manny-floyd-_3289911b
fight-manny-floyd-_3289914bEmbedded image permalink


Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Embedded image permalink

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post