New Audio_ WIMBO MAALUM KUHUSU STAND UNITED FC- "CHAMA LA WANA",Sikiliza na Download hapaNimekusogezea hapa wimbo maalum kuhusu Timu ya mpira wa miguu ya Stand United ya Shinyanga.Katika wimbo sauti mbalimbali za mastaa kutoka Shinyanga zimesikika,yumo R6,DJunior,Cado B,Shacks D,Marioto Planet,Z-H,Chuse Jonten,Sky Love,Egam Dropper na Mwanaporii,lakini pia kuna sauti ya Brother K.
Sikiliza na Download hiyo ngoma hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post