ANGALIA PICHA ZA MSHINDI WA EJAT 2014

Tazama picha za Mshindi wa tuzo ya EJAT 2014 (utawala bora),ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari bwana Victor Bariety,aliyevaa suti nyeupe na shati jekundu,akikabidhiwa cheti na makamu wa rais Dk Gharib Bilali katika ukumbi wa Mliman City jijini Dar es Salaam

Bwana Victor Bariety pia ni miongoni wa waandishi wa habari wa mtandao huu wa Malunde1 blog mkoani Geita
Hapa akiwa na washindi wenzake

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post