ANGALIA PICHA- WAFUASI WA LOWASSA WATEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU WA NGOZI (ALBINO) SHINYANGA
Saturday, April 25, 2015
Wafuasi wa Lowassa wakiwa na watoto katika kituo cha Buhangija
Marafiki wa Lowassa wakiwa getiniwakitafakari jambo kabla ya kuingia ndani-
Leo kikundi cha Vijana mkoani Shinyanga wanaouunga mkono
harakati za waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ikiwemo kuchukua fomu ya kugombea urais wametembelea
kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino)cha Buhangija Jumuishi katika manispaa ya Shinyanga na kushiriki shughuli za ujenzi wa jengo la huduma za afya linalojengwa na Wahindi ,kufanya usafi na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa ajili ya watoto 390 waliopo katika kituo hicho-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Bango kubwa lililokuwa limebebwa na marafiki wa Lowassa( Friends of Edward Lowassa 4U Movement) wakiamini katika Umoja,Utumishi,Uwajibikaji na Uzalendo
Baada ya kuingia Kituoni-Marafiki
wa Lowassa wakishiriki shughuli za ujenzi wa jengo la afya linalojengwa na
Wahindi/wananchi
Marafiki wa Lowassa kupitia 4U Movement wakishiriki shughuli za ujezi,hapa wanachanganya zege
Wanaendelea na ujenzi
Wanachanganya zege
Kulia ni Afisa
habari wa marafiki wa Lowassa mkoa wa Shinyanga Musa Jonas akishiriki shughuli
ya ujenzi katika kituo cha walemavu cha Buhangija
Marafikiwa
Lowassa mkoa wa Shinyanga wakifua nguo za watoto wanaolelewa katika kituo cha
Buhangija Jumuishi mjini Shinyanga
Wafuasi/marafiki wa Lowassa wakifua nguo za watoto hao
Marafiki wa Lowassa wakifagia na kuchoma moto taka
Hawa wanaanika nguo baada ya kumaliza kufua
Zoezi la kufua nguo linaendelea
Miongoni
mwa mabango yalikuwa yamebebwa na marafiki wa Lowassa
Marafiki wa Lowassa wakiwa wamebeba mabango
Mabango yalikuwa mengi
Mabango yakachukua nafasi zaidi
Wafuasi wa Lowassa wakiwa na watoto katika kituo cha Buhangija
Watoto wenye ulemavu wa ngozi,wasiosikia na wasioona
Kushoto ni Mwenyekiti/mratibu
wa 4U Movement wilaya ya Shinyanga Ramadhan akizungumza katika kituo cha
walemavu wa ngozi Buhangija mkoani Shinyanga
Mwenyekiti ambaye ni mratibu wa marafiki wa Lowassa mkoa wa
Shinyanga Hassan Haruna akizungumza katika kituo hicho ambapo alisema wameamua kufika katika kituo hicho ili kuunga
mkono jitihada zinazofanywa na serikali kupiga vita mauaji ya albino nchini na kuutangazia umma kwamba wanaamini
kabisa kuwa kiongozi atakayeweza kuwatetea albino ni Edward Lowassa,kwani
amefanya mambo mengi makubwa nchini,hivyo kitendo cha kukomesha mauaji haya
itakuwa kazi rahisi kwake,hivyo kumshawishi achukue fomu ya urais muda ukifika.
Marafiki wa Lowassa wakijiandaa kukabidhi msaada wa maharage,unga,mkaa,sabuni,chumvi,maji,soda,mafuta
ya kujipaka na mafuta ya kupikia.
Zoezi la kukabidhi msaada linaendelea,kulia ni mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali akipokea mfuko wa unga
Kulia ni mkuu wa kituo cha Buhangija Peter Ajali akizungumza baada ya kupokea msaada kutoka kwa vijana hao
ambapo alisema hivi sasa kituo hicho kina watoto 390,kati yao wenye
albinism ni 286,wasioona 40 na wasiosikia 64,na kwamba changamoto kubwa zaidi
ni chakula kwani kwa mlo mmoja tu zinahitajika kilo60 za unga,32 za maharage,70 mchele na nyama
kilo 33,hivyo chakula kinahitajika--Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin