Teknolojia zingine bwana!! KUTANA NA MKANDA UNAOJIFUNGA WENYEWE KIUNONI

20140104_ces-unveiled_0096
Hizi teknolojia zinatupeleka mbali sana kiukweli, kupitia millardayo.com ni juzi tu kulikuwa na story ya viatuvinavyojifunga kamba, leo kuna huu mkanda, huna haja ya kuulegeza ama kuukaza, hayo yote unafanya wenyewe.


IMG_7136.0
Mkanda huo uliobuniwa Paris unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.
246B8EA000000578-0-image-a-28_1420475576899
bpci64mva3keyigwwxmt
Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.
belt

belty-2


belty3

IMG_7145.0

neb62kkoi9tjhknolitn

Unaweza kubonyeza play kuangalia ufanisi wake hapa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post