Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SIMBA NDIYO 'JEMBE' WAICHAPA YANGA 2 - 0








Timu ya SIMBA imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya YANGA bao 2 huku timu ya Yanga wakiambulia kuondoka na maumivu ya kushindwa kufurukuta kwa bao hata moja.


Timu ya Simba SC imeshinda bao 2 – 0 dhidi ya Yanga SC kwenye mechi ya kirafiki ya Mtani Jembe 2 Uwanja wa taifa jijini Dar es salaam



Wafungaji wa magoli kutoka timu ya Simba ni Awadh Juma na Elias Maguri ambapo mabao yote yamefungwa katika kipindi cha kwanza.

Kwa mara ya pili tena timu ya SIMBA wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa Nani Mtani Jembe baada ya kutwaa ubingwa huo mwaka jana walipoichapa Yanga bao 3 -1.

Kwa upande wa zawadi Simba wamefanikiwa kutwaa milioni 92 na laki kadhaaa huku Yanga wakiondoka milioni 7 na laki kadhaaa.


VITUKO MTANDAONI BAADA YA USHINDI








Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com