Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PICHA_SHUHUDIA TUKIO KUBWA USIKU HUU KUHUSU MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO NCHINI TANZANIA


Leo ni siku ya furaha kubwa kwa mdau wa Malunde1 blog ndugu Steve Kanyefu ambaye ni mtangazaji maarufu wa radio kutoka Shinyanga anayefanya kazi katika kituo cha Matangazo cha Radio Faraja Fm Stereo ya Shinyanga.Steve Kanyefu maarufu kwa jina la Mwanaporii,Mzee wa Ndwanga ama Mzee wa  Michapo usiku huu  leo Jumamosi Disemba 13,2014 amefanya sherehe ya kuzaliwa kwake(Birthday Party) iliyofanyika katika ukumbi wa Gamiro/Las Vegas mjini Tabora/manispaa ya Tabora.Marafiki mbalimbali wamejitokeza kumpa kampani kijana huyu ambaye leo anatimiza miaka kadhaa ya kuja hapa duniani

Mwanaporii akiwa amelowana baada ya kumwagiwa vinywaji mbalimbali na marafiki muda mfupi baada ya sherehe kuanza

Mtangazaji kutoka Rasi fm ya Dodoma Josephine  Charles akiwasha mshumaa kwenye keki

Madam Caroline Arinaitwe kutoka nchini Uganda akiwasha mshumaa wakati wa sherehe hiyo usiku huu mjini Tabora

 Bwana Kindamba Namlia kutoka Tanzania akiongea jambo

Kulia  ni mkurugenzi wa Malunde1 blog ndugu Kadama Malunde
MC Natalis Natalis akiwasha mshumaa
Vinywaji na keki

Watangazaji wa radio kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania

Bi Veronica Natalis kutoka Radio Faraja Shinyanga akifuatilia kilichokuwa kinajiri

Mshereheshaji mkuu Kindamba Namlia akifanya yake wakati wa sherehe

Zoezi la kukata keki linaendelea
Mzee Titus kutoka CG FM Radio ya Tabora akifuatilia kilichokuwa kinajiri

MC Kindamba akifurahia jambo
Kushoto ni mkurugenzi wa Malunde1 blog Kadama Malunde akiwa na Mwanaporii leo usiku
MC maarufu nchini Tanzania Natalis Natalis akiongea jambo

Marafiki wakiwa eneo la tukio


Mwanaporii akiwa na marafiki
Mshereheshaji mkuu Kindamba Namlia akionesha mbwembweee!!
Cheers!!!!!!!!

Katikati ni MC Natalis Natalis akisikilizia utamu wa keki

Kulia ni Revocatus kutoka Rasi fm akimlisha keki Mwanaporii

Kushoto ni ndugu Revocatus kutoka Rasi fm ya Dodoma akisikilizia utamu wa keki

Kushoto ni Anko Eddy kutoka TOP Radio ya Morogoro akilishwa keki na Mwanaporii
Steve Kanyefu a.k.a Mwanaporii,akiwa amevaa tshirt ya Malunde1 blog siku chache kabla ya sherehe yake ya kuzaliwa -Picha kutoka Maktaba yetu

Mwanaporii akifanya yake ndani ya studio za radio Faraja fm stereo-picha kutoka maktaba yetu



Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com