Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CCM YAISAMBARATISHA UKAWA HUKO KISHAPU NA SHINYANGA VIJIJINI


CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini na Kishapu kimefanikiwa kuisambaratisha kambi ya Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) baada ya wagombea wake wengi kujitoa kuwania nafasi mbali za uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com