GARI LA CCM LAPATA AJALI MOROGORO


 Gari aina ya Land Cruser lenye namba za usajili T 985 CYZ  ambayo ni mali ya chama cha CCM likiwa limeharibika upande wa mbele baada ya kugongana na roli la mizigo mkoani Morogoro. Pia katika ajali hii hakuna mtu aliyefariki.
 Wasamaria wema wakilitoa gari dogo barabarani kwa ajili ya kuondoa foleni iliyokuwepo eneo hilo


PICHA NA CCM BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527