Kutana na watu wenye akili zaidi duniani, swali la kizushi, mbona kwenye list hakuna mwafrika? ni kweli waafrika hawajawahi kufanya mambo makubwa, je ni kweli IQ za waafrika ni ndogo?