INATISHA!! MWANAMKE AUAWA KWA KULIPULIWA NA PETROL,KISA KWANINI KAACHANA NA ULOKOLE




MAMA mmoja mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa  Agosti 24, mwaka  huu.

Tukio hilo la kusikitisha inadaiwa linahusishwa  na ugomvi baada ya mama  huyo kuachana na ulokole na  kujiunga tena katika dini yake ya zamani ya Kiislamu.Akisimulia mazingira ya tukio hilo, mtoto wa pili wa mama huyo ambaye hivi sasa ni marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Charity Jikole alikuwa na haya ya kusema

ENDELEA KUSOMA HABARI HII HAPA


TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post