ANGALIA PICHA-HII NDIYO SAFU MPYA YA UONGOZI CHADEMA


Uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA umemalizika  katika ukumbi wa mliman city ambapo mwenyekiti wake FREMAN MBOWE ameshinda tena kiti hicho kwa kishindo na kutangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho kwa miaka mingine mitano
matokeo ni kama ifuatavyo
NAFASI YA UENYEKITI---
FREMAN MBOWE---KURA --789
GAMBARANYERE MWANGATEKA---KURA--20

NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BARA
PROFESA ABDALA SAFARI---KURA--775

NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBAR

SAID ISSA MOHAMED---KURA--645
HAMAD MUSSA YUSUPH--163
Hivyo aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo ALEX KISURURA  amemtangaza mh FREMAN MBOWE kuwa mwenyekiti huku PROFESA SAFARI akichukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa bara na SAID ISSA MOHAMED kuchukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa zanzibar.

CHINI KUNA PICHA BAADA YA USHINDI







Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527