SIKILIZA WIMBO MPYA WA "PROFESA J" Unaitwa "3 CHAFU",HUU NI BAADA YA ULE WIMBO WAKE WA "Kipi sijasikia"

Professor Jay Tatu Chafu_full
0
Ukiwa msikilizaji sana wa muziki wa Hiphop ukiusikia wimbo huu wa Profesa Jay kuna vitu utagundua ni kama ile michano ya kipindi cha nyuma iliyokuwa inafanywa na makundi kadhaa likiwemo la Hard Blasters Crew Hbc ambalo nae alikuwepo.
Wimbo wake mpya unaitwa 3 CHAFU.Humu kajishirikisha mwenyewe yaani wimbo wa Profesa Jay na wameshirikishwa Nigga Jay na Jay Hussle,upande wa jina la Nigga Jay ni jina alilokuwa akitumia zamani Profesa Jay kabla ya kubadilisha jina.

SIKILIZA HAPA NGOMA MPYA YA PROF J-INAITWA 3 CHAFU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527