Ni Shidaaaa!! UMBO LA MWALIMU HUYU LAWACHANGANYA WANAFUNZI WA KIUME DARASANI

 Hii ni picha ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi wa shule hiyo kushindwa kusoma vizuri kisa makalio yake makubwa ambayo kipindi akiwa anaandika somo ubaoni huku nyuma yamekuwa yakitikisika kwa staili ya kipekee.

Kwa mujibu wa mzazi huyo ambaye alimvizia dada huyo akiwa kwenye nyumba za walimu na kumpiga picha inayoonekana hapo juu alisema

" Unajua huyu mwalimu anafundisha kidato cha kwanza huku ifahamike wanafunzi wengi wa umri huo ni wale wanaobarehe hivyo inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri aliyonayo mwalimu huyo nyuma" Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi ya jina lake.

via babamzazi.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post