KUHUSU AJALI YA GARI DOGO KUDONDOKEWA NA LORI LA MCHANGA HUKO MAKONGO JIJINI DAR ES SALAAM


 Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi. Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.

 Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
  Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
 Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari..

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post