Breaking News!!! KANISA KATOLIKI JIMBO KUU LA TABORA LANUSURIKA KULIPULIWA


Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.PICHA KWA HISANI YA KAPIPIJ BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post