Wizi Misikitini!!! JAMAA ADAKWA AKIIBA VIATU VYA MUUMINI MSIKITINI

clip_image001Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge jijini Dar es salaam,baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.clip_image001[6]Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba zinazoonekana mwishoni kulia.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post