Ajali ya Ajabu kweli!!! JAMAA AGONGWA NA NDEGE ANGANI,TAZAMA PICHA HAPA

Hili imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga walianguka chini wote huku ndege ikiangukia pua.
Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49) aliruhusiwa kuondoka. 
Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga picha aliyekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu..
TAZAMA PICHA ZAIDI ZA NDEGE HIYO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post