KIJANA EMMANUEL MSUYA AIBUKA MSHINDI EBSS 2013 ,ALAMBA MAMILIONI YA FEDHAAAAAA!
Huyu Ndio Mshindi Wa EBSS 2013
Mshindi wa shindano la vipaji Epic Bongo Star Search Mwaka 2013 Ni Emmanuel Msuya. Amezawadiwa pesa za Kitanzania Milioni 50 alfajiri ya leo na Mkataba wa Kurekodi Chini Ya Studio Ya Mj Records.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553