 |
Kamanda mkuu wa sungusungu tawi la Tambukaleli katika manispaa ya Shinyanga bwana John Tulla akizungumza JANA wakati wawa kikao cha jeshi la jadi (sungusungu) kata ya
Ndembezi katika manispaa ya Shinyanga ambayo inachukua nafasi ya pili kwa
uhalifu kama vile wizi wa baiskeli,ng’ombe,kuku na vitu mbalimbali katika
manispaa hiyo huku kata ya Ndala ikiongoza na Kata ya Ngokolo ikichukua nafasi
ya tatu kwa uhalifu |
 |
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbuyuni bwana Chifu Abdallaha Sube akizungumza wakati wa kikao hicho cha makamanda wa sungusungu ambapo alisema kuna baadhi ya askari polisi sio waaminifu kwamba wanashirikiana na wahalifu kwani baadhi yao wamekuwa wakishuhudia uhalifu ukifanyika bila kuchukua hatua hivyo kusababisha uhalifu kuendelea kushamiri katika jamii |
 |
wajumbe wa kikao wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea |
 |
kikao kinaendelea |
 |
Mkaguzi msaidizi wa polisi,polisi tarafa,tarafa ya
Shinyanga Mjini Deodatus Rutta ambapo alisema kuongezeka kwa uhalifu katika jamii
kunatokana na wanajamii kuwa na uoga wa kuwafichua wahalifu |
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment