ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KUANGALIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA YAKAMILIKA MKOANI SHINYANGA

Katikati ni Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya shinyanga vijijini Dk Archie Hella  katika eneo la  kijiji chA Busombo kata ya Iselamagazi katika wilaya ya shinyanga vijijini akitoa maekezo kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja mbele yake kuhusu ujenzi wa hospitali hiyo unaoendelea ambao utagharimu zaidi sh. bil 14

Jengo la hospitali ya wilaya ya shinyanga vijijini ambalo hivi karibuni litaanza kutumika katika kutoa huduma za afya kwa wananchi
Ofisi ya Chama Cha Maendeleo CHADEMA katika Kata ya Iselamagazi wilaya ya Shinyanga Vijijini
Wananchi wa kijiji cha Sayu  kata ya Pandagichiza wakimsikiliza mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga katika eneo la mradi wa maji ya ziwa victoria ambao utanufaisha vitongoji vitano vya kijiji hicho

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga akitoa kadi kwa mwanachama mpya wa ccm mmoja kati wanachama wapya zaidi ya 200 waliojiunga na chama hicho katika kata ya Pandagichiza jimbo la solwa


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post