KAULI YA WALTER CHILAMBO BAADA YA KUFUNIKA KINA WABABA KWENYE EBSS 2012 Asante sana Mwenyezi Mungu.
Nakushukuru Mama yangu, Baba.
Asante kwako wewe uliyeniwezesha kufika hapa.
Natafuta neno zaidi ya Asante sioni. Nashukuru sana.
Asante, Asante tena na tena..
 Imeniwia vigumu sana kuamini lakini sina cha kusema zaidi ya kukushukuru wewe kwa kuniwezesha. Kura zako ndio zilikuwa jaji Hongera..
 
Hii ni kauli ya waltel chilambo kupitia blog yake

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments