KISUTU LEO JAMAA AJIPAKA KINYESI ASKARI WASIMGUSE.
Askari wakimdhibiti mtuhumiwa huyo kwa kutumia matambara na mashuka mazito kutokana na kuwa na kinyesi kingi. |
Akipandishwa kwenye gari la polisi na kuondoka nae. |
Akilazimishwa kuvaa nguo. |
Akiondoka eneo hilo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. CHANZO: RAHA ZA PWAN BLOG |