
Msanii wa Bongo Fleva, Slyvepo, ameachia rasmi video mpya ya wimbo wake unaoitwa “Nene na Bhebhe”, kazi mpya inayokuja na ladha ya kipekee kwa wapenzi wa muziki.
Video hiyo imeongozwa na Chasama na tayari imeanza kupatikana kupitia mtandao wa YouTube, ambapo mashabiki wameanza kuipokea kwa hamasa kubwa.
Slyvepo amewaomba mashabiki wake kuendelea kumuunga mkono kwa kutazama, ku-like, ku-comment na ku-share video hiyo ili kuwafikia wapenzi wengi zaidi wa muziki.
Tazama video ya “Nene na Bhebhe” na ujionee ubora wa kazi hiyo mpya kutoka kwa Slyvepo.
Social Plugin