Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA MKUTANO WA AfDB, CONGO

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).



Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville, Dieudonné Bantsimba katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, Brazzaville Mei 27, 2026.






Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com