Na mwandishi wetu, Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama Cha Ukombozi wa Uma John Mrema amesema kuwa kwa sasa ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande kwa sababu Tume hiyo Ina watu weledi sana.
Mrema ameongeza kuwa Tume hiyo ni bora kwa kuwa imeundwa na Rais Samia kwa ajili ya kuwasaidia watanzania.
"Imani yangu ni kuwa itafanya kazi nzuri kama ilivyokusudiwa kwa maslahi ya taifa na watanzania kwa ujumla, " amesema

Social Plugin