Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tanzia : MSANII WA BONGO FLEVA SPACK AFARIKI DUNIA


Msanii wa BongoFlava Spack, amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa nyumbani kwake anapoishi.

Taarifa hiyo imetolewa na Meneja wake Melefti ambaye anasema bado hawajajua chanzo cha kifo chake.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com