
Naitwa Benson, mkazi wa jiji la Mbeya, mji wa baridi na fursa. Kwa miaka sita, nilijichimbia katika biashara ya nguo za mitumba (kamisheni) pale soko la Mwanjelwa. Nilikuwa na duka lililosheheni ‘grade one’ ya nguo kutoka Ulaya, lakini maisha yangu yalikuwa ni kitendawili.
Kila asubuhi nilikuwa nafika dukani na kuanza kupangusa vumbi, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza kichwa kuuliza bei.
Social Plugin