Helabet ni kampuni ya kubeti mtandaoni nchini Tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria na Taratibu Tangu za bodi ya michezo ya bahati nasibu 2019. Kampuni hii inamilikiwa na Cheza IT solutions ambapo inafanya kazi katika nchi nyingine mablimbali kama zambia, kenya, ghana ,Nigeria na India , Hapa tutajadili jinsi ya kujiunga Helabet, promo code ya helabet ambayo ni A84 miongoni mwa mambo mengine.
Table of Contents
Kujisajili Helabet
Promo code ya helabet
Michezo inayopatikana helabet
Kuweka na kutoa pesa
Mawasiliano
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara FAQ
Hatua kwa hatua Jinsi ya kujisajili
Mchakato wa kujiandikisha kwa wachezaji wapya ni rahisi hapa tutapitia hatua moja baada ya nyingine . Baada ya kuingia katika tovuti na kutafuta helabet unaweza kujisajili kwa njia hizi
By Phone
Una mweza kujisajili kwa kutumia number ya simu ya mkononi.
Hatua ya kwanza: Tembelea katika tovuti ya helabet au bofya >HAPA> kujiunga
Hatua ya pili: jaza namba ya simu kisha bofya send sms utapokea code jaza
Hatua ya Tatu:Jaza promo code ya helabet ambayo ni A84 , wakati mwingine kwa kiswahili huweza kuitwa msimbo wa promo.
Hatua ya nne: Bofya kibox cha kukubali sheria na masharti
Bofya register
By social network and messengers
Hapa utajisajili kwa mitandao yako ya kijamii kama vile Google, Telegram , Twitch, na X.
Hatua za kujiunga
Bofya mtandao husika
Jaza promo code : A84
Bofya kibox cha kukubali sheria na masharti
Bofya jisajili (Register)
Jinsi ya Kutumia Promo Code ( Msimbo wa promo) bonus 100% hadi 300,000
Hii ni nambari maalumu ambayo hutumika kujiunga kwa wachezaji wapya wa helabet. Kwa kawaida nambari hii huambatana na bonasi maalumu ambayo hupewa mteja mpya baada ya kujiunga , kukamilisha usajili na kuweka pesa kwenye account yake kwa mara ya kwanza . Nambari hiyo maalumu ambayo hujulikana kama msimbo wa promo au promo code ni A84 , hutumika mara moja tu wakati wakujiunga peke yake.
Michezo mbalimbali inayopatikana Helabet
Katika tovuti au app ya helabet unaweza kubeti michezo mbalimbali kama ifuatavyo
Football, Tennis, Basketball, Ice Hockey
volleyball, Table Tennis,Cricket ,American Football, Esport, Alpine Skiing, Australian Rules, Badminton , Balk hockey , Bandy, Bare-knuckle Boxing, Baseball, Basque pelota, Biathlon , Bicycle Racing, Billiards , Boat Racing , Boxing , Chess, Darts, Disc Golf, Fencing , Floorball , Formula 1, futsal, Golf,Greyhound Racing Antepost, Handball, Horse Racing, Horse racing antepost, Hurling, lacrosse , lottery, Martial Arts, motor sport, Muay Thai, Netball, water polo, Soft ball, UFC, Speed way, Sailing, Rugby, motorbikes, Eurovision , Snooker, polybet, etc.
Kuweka na Kutoa Pesa Helabet
Unaweza kuweka pesa na kutoa kupitia njia mbalimbali kama vile , kama vile
Mpesa
Halopesa
Airtel money
Mix by yass
Skrill
Visa
Master card
Kumbuka Visa na mastercard ni kwaajili ya kuweka peke yake hazipokei pesa. Njia hizo hizo ulizotumia kuweka pesa ndio hizo utatumka kutoa pesa.
Mawasiliano
Unaweza kiwasilina kupitia number ya simu +255655759335 au barua pepe sw@helabet.com au kufika ofisink kwao Ubungo, Po box, 550,55 Dar es salaam Tanzania. Pia unaweza kuwasiliana na helabet kupitia live chat katika tovuti au app.
Social Plugin