
Matukio mbalimbali yakiendelea wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), unaofanyika katika Ukumbi wa New Generation, jijini Dodoma, Februari 12 na 13, 2026, ukiwa na kaulimbiu isemayo ‘Matumizi ya Teknolojia katika Kupanua na Kuboresha Huduma za Utangazaji Vijijini.’ Mkutano huo unalenga kujadili na kutathmini maendeleo ya sekta ya utangazaji nchini, pamoja na kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha utoaji wa huduma, hususan katika maeneo ya vijijini. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog










































































Social Plugin