
Miaka mingi ya maisha yangu yamekuwa na machungu na mateso yasiyoelezeka. Kila siku ilikuwa ni vita ya kuishi na changamoto zisizo na mwisho. Nilipoteza kazi mara kwa mara, biashara zangu zilishindikana, na marafiki waliokuwa karibu walianza kuondoka moja baada ya nyingine.
Nilihisi kama dunia ilikuwa ikinicheka, na kila jaribio langu la kufanikisha kitu lilimalizika kwa hasara. Machozi na huzuni vilijaza kila pembe ya moyo wangu, na mara nyingi nilijikuta nikiwa peke yangu, nikiogopa kushirikiana na mtu yeyote.
Social Plugin