Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU KIONGOZI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KITAIFA CHA MAWASILIANO YA SERIKALI DAR ES SALAAM



Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka leo Desemba 17, 2025 amefungua Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali ambacho kinafanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.

Kikao kazi hicho kinachoongozwa na Kaulimbiu: “Utu na Mawasiliano Yenye Uwajibikaji” kimeandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa kushirikiana na Idara ya Habari (Maelezo).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com