Sehemu nzuri ya kisasa kwa ajili ya kupumzika/Kukutana/kufurahi kwa pamoja
Nyumba yenye Fensi na Garden ipo Bukoba Mjini National Housing jirani na geti la Depot ya TBL na ipo mkabala na geti la kwanza la kiwanda cha Maji Asilia linalotizama kwenye barabara ya lami
Nyumba inajitosheleza kwa huduma zote muhimu kwa ndani , ikiwemo sebure, chumba kimoja cha kulala , jiko, vyoo, WiFi, parking , garden nk
Inafaa kwa shughuli zote za malazi/house party/ mikutano/ vikao vya watu wachache na sherehe ndogo
Gharama zetu ni rafiki kwa huduma bora
Wasiliana nasi upate huduma kwa namba 0657928586/ 0752240828
Karibu BRC.


Social Plugin