Msanii wa nyimbo za asili SHILANGILA ameachia wimbo mpya unaoitwa “Joji”, wimbo unaobeba ujumbe mzito wa kijamii unaomzungumzia mtu mwenye tamaa kupita kiasi. Kupitia lugha ya asili na mtindo wake wa kipekee, SHILANGILA anamkosoa mhusika “Joji” kama mfano wa watu wanaotanguliza tamaa kuliko maadili, haki na utu.
Wimbo huu unalenga kutoa funzo kwa jamii juu ya madhara ya tamaa, huku ukitunza urithi wa muziki wa asili kwa ala na uimbaji wa jadi unaovutia.
Social Plugin