
Shinyanga Adventist Choir (SAC) wametoa rasmi video ya wimbo wao mpya “Hajanitekelekeza” ikionyesha uzalishaji wa kisasa na ujumbe wenye kugusa moyo.
Wimbo huu unasisitiza kuwa Mungu hamwachi mwanadamu hata kwenye changamoto za maisha.
Video imepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa injili, ambao wamesifu ubora wa picha, uimbaji na ujumbe wenye matumaini.
📺 Tazama video kupitia YouTube: Hajanitekelekeza – SAC.
Social Plugin