Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

🌟TANGAZO MAALUM LA UDHAMINI – USIKU WA SHUKRANI 2026

 🌟TANGAZO MAALUM LA UDHAMINI – USIKU WA SHUKRANI 2026 

ABUNDANT BLESSINGS NIGHT – 2026

Je, ungependa kuwa miongoni mwa wadhamini rasmi wa tukio kubwa lenye kugusa maisha ya watu na kuleta baraka tele?


Karibu kuwa sehemu ya USIKU WA SHUKRANI 2026!


👥 Waandaaji Wakuu wa Tukio

👉Kwaya za AIC Kambarage

👉Praise & Worship Teams kutoka makanisa mbalimbali

👉Muimbaji Binafsi (Solo Artist)

👉Comedian kwa ajili ya burudani

Waandaaji hawa wameungana kwa umoja ili kuandaa tukio la kipekee, la ibada, shukrani na huduma kwa jamii.


📞 Wasiliana Nasi kwa Ufadhili

+255 685 788 063

Ukishawasiliana nasi, utachagua eneo au kipengele unachoweza kukisimamia au kuchangia kadiri Mungu atakavyokugusa moyo.


🌿 Aina za Ufadhili Tunaopokea

💰 Fedha taslimu

🎁 Vitu halisi kwa ajili ya kuwasaidia wahitaji

🚌 Usafiri (coaster, gari, mafuta n.k.)

📢 Matangazo na media coverage

🎀 Mapambo na maandalizi

⛺ Matenti & Majukwaa

💡 Mifumo ya taa (lights)

🎶 Muziki, DJ & sound system

…na aina nyingine za michango yenye kujenga kazi ya Mungu.


🤝 Kwa Nini Uwe Mdhamini?

💫Unashiriki kuleta mabadiliko chanya kwa jamii

💫Unaguswa na huduma za kiroho na kijamii

💫Unapata visibility kupitia matangazo na tukio

💫Tunahakikisha heshima, uwazi na weledi kwa kila mdhamini

💫Zaidi ya yote, unagusa Moyo wa Mungu kupitia ibada hii ya shukrani.


USIKU WA SHUKRANI 2026 NI BARAKA TELE!

🔥🔥🔥 Ungana nasi… tuandike historia pamoja.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com