Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking : DKT. TULIA ACKSON AACHIA MBIO ZA USPIKA WA BUNGE LA TANZANIA


Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo, leo tarehe 7 Novemba 2025.


Dkt. Tulia alikuwa akiwania nafasi hiyo pamoja na Musa Azzan Zungu na Stephen Masele.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com