Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

INEC YATANGAZA KUFUTWA KWA KATA 10, KUTENGUA UTEUZI WA WAGOMBEA UDIWANI 7, KUFUTWA KWA VITUO VYA KUPIGIA KURA 292


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 12, 2025 wakati akitangaza orodha ya maeneo ya uchaguzi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kufuatia kufutwa kwa baadhi ya maeneo na kutangaza kutengua uteuzi wa wagombea saba katika maeneo ya uchaguzi yaliyofutwa, kufutwa kwa vituo vya kupigia kura 292 na kuanzishwa kwa vituo vingine 292 katika Kata walipohamishiwa wapiga Kura husika. (Picha na INEC).


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com