Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PROMO CODE YA MELBET



 
Melbet ni kampuni maarufu sana ya kubashiri mtandaoni pamoja na kucheza michezo ya kasino za mtandaoni. Melbet inafanya kazi nchi mbalimbali duniani , hivyo ni kampuni ya kimataifa. je najiuliza kuhusu promo code ya Melbet? Jaza neno OFA , hiyo ndio promo code ya kujisajili melbet

 

Table of Contents

1.0 Jinsi ya kujisajili  melbet

1.1 Kuingiza promo code ya Melbet

2.0 Faida za kutumia promo code

2.1 michezo inayopatikana melbet

3.0 Bonasi za melbet ni zipi

3.1 Jinsi ya kubeti Kwa usahihi

4.0 Kuweka na kutoa Pesa

4.1  Jinsi ya kuwasiliana na huduma kwa wateja

 

Mchakato wa Kufungua account mpya ya melbet

 

Kujisajili au kujiandikisha melbet ni rahisi fanya mchakato huu rahisi kujiunga

      ingia google au chrome search neno melbet ikija click , join au jiunge

      Jaza nambari ya simu bila kuanza na kodi ya kimataifa , kisha bofya send sms, utapokea nambari maalumu jaza

      Tengeneza nywila yako au neno la siri

      Jaza promo code ya melbet ambayo ni neno OFA

      kubali vigezo na masharti

      bofya jiunge ,

      weka pesa kwenye account yako mpya

Kumbuka unaweza kujisajili kwa kutumia namba ya simu , barua pepe au 1 click , vitu vya muhimu vya kuzingatia nikujaza taarifa kwa usahihi pamoja na promo code code ya melbet [ OFA ]

 

Nimuhimu kuhifadhi taarifa zako ili uweze kuingia muda wowote ikiwa umesahau neno lako la siri unaweza kuomba upya

 

Jinsi ya kutumia Promo Code ya melbet (OFA)

Hili ni neno maalumu kwaaajili ya kupata bonasi baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza. Maimbo huu maalumu ni neno OFA , Ambapo hujazwa mara moja tu wakati wa kujisajili. Wakati wakujiandikisha sehemu palipoandikwa promo code jaza neno OFA , hiyo ndio promo code kwaajili ya bonasi. Bonasi ni 100% ya pesa utakayoweka kwa mara ya kwanza hadi 500,000tsh

 

Faida za kutumia Promo code kujiunga

Kama tulivyokwisha kuona msimbo maalumu wa kujiunga melbet au promo code ya kujisajili melbet, kujiunga kwa code hiyo itakusaidia kupokea bonasi mbalimbali wakati umeshafungua account hivyo pamoja na kuwa ni chaguo lakini inazofaida maalumu unazoweza kupata

 

Michezo inayopatikana Melbet

Ipo michezo mbalimbali inayopatikana katika tovuti ya melbet, kampuni hii inaongoza kwakuwa na michezo mingi pamoja na machaguo mbalimbali alama kubwa miongoni mwa mambo mengine. Unaweza kubashiri michezo ya mpira wa miguu, tennesi, volleyball , ice sport , michezo ya kasino, crash game, aviator , boxing na michezo mingine mingi.

 

Bonasi Za melbet

Kampuni ya melbet inazo bonasi mbalimbali kwa wateja wake zifuatazo ni bonasi mbalimbali zinazopatikana kayika kampuni ya kubashiri ya Melbet

      Bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza

      Bonasi ya kuweka pesa kila ijumaa

      Bonasi ya siku yako ya birthday

      Bonasi  za michezo ya casino

Jinsi ya Kubeti Kwa Usahihi na kushinda

Mara zote kushinda ni bahati lakini zipo option rahisi za kusaidia karibu na ushindi kama machaguo mawili mfano 1x, X2, n.k , GG n.k , kumbuka kubashiri kistaarabu

 

Kuweka Na kutoa Pesa Melbet

Unaweza kuweka na kutoa pesa melbet kwa njia zote za kuweka na kutoa pesa za simu kama vile mpesa,  Mix by yass, halopesa airtel money n.k , vile vile unaweza kutumia njia za kidigitali kuweka na kutoa pesa kama vile USDT, skrill, BTC, njia za kuweka na kutoa pesa kwa wakala na kadhalika.

 

Jinsi ya kuwasiliana na Huduma kwa wateja

 

Unaweza kuwasiliana na melbet kwa kutumia njia ya lice chat au kuwasiliana na nao kupitia barua pepe inayoonekana katika tovuti ya melbet.com

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com